| Date | 2011-09-25 |
| Location | |
| Message | Nimefurahi kukutana na ukurasa huu, niwatakie kila lakheri , na umoja udumu. mimi niko hapa kwa wiki 4 tu, mawazo yenu kwa ujenzi wa Taifa letu ni muhimu... |
| Date | 2009-09-11 |
| Location | |
| Message | habari zenu ndugu watanzania mnaoishi danmark?mimi naitwa mark.mushi ni msanii wa mziki wa bongo flava naishi italy,niko mbioni kutoa single yangu hivi karibuni nitalayoirecord roma,napenda kuwataharifu watanzania waishio danmark kuwa single yangu itakapokuwa tayari nitapenda niwatumie watanzania mliopo uko ili muweze kusikiliza ladha mbalimbali za music hasa za mtanzania mwenzenu aliyepo italy,kwa yeyote apendae kuwasiliana nami anaweza kuwasiliana na mimi kupitia,[email protected],au akanipigia simu yangu ya mkononi ni,+393336989592,tuko pamoja katika kuwakilisha tanzania katika nchi za wenzetu mziki ni kipaji na kama una kipaji shika mic fanya kweli kama mark,nategemea kuwatumia single hii yangu ya kwanza kisha nyingine zitafatia hapo baadae pamoja na video zake,naomba muzisambaze ili watanzania nao waweze kuona vitu vikali vya mtanzania mwenzao aliyepo italy,asanteni sana, |
| Date | 2009-06-15 |
| Location | |
| Message | ** SKAKE WHAT YA MAMA GAVE YA ** .. and do it for a good cause to sweet afrobeats and cheap bar prices! All profit goes to charity projects for young people in Eastafrica! Seize the opportunity and join us to have alot of fun SATURDAY 25th OF JULY 2009. The party takes place at the NGO Mellemfolkeligt Samvirke, Fælledvej 12, 2200 København N. To this event we are searching for a nice (not to exepensive) DJ to come and play all the best bongo flava music. Please e-mail us [email protected] if you know of anyone. ... if not. Just come and shake it :D |
| Date | 2008-12-30 |
| Location | |
| Message | Hellow...hongera sana! its wonderful to have a page with useful info like this!.... |