Sign Guestbook   

Namepanga
Date2007-03-22
Locationclick picture for more information
MessageHE heeeh sasa dk inawaka moto, mambo mapya .
Damu za moto zinafanya kazi kisawasawa.
wasomi ju ju juzaidi vijana taifa la leo.


NameWilson
Date2007-03-22
Locationclick picture for more information
MessageMtandao uko bomba.kama itawezekana nadhani itapendeza zaidi kama kutakuwa na sehemu ya profiles ambapo watu wanaweza kuweka information zao kwa kifupi pamoja na picha ili kuweza kufahamiana na kuwasiliana kwa urahisi zaidi.kazi nzuri!big up sana whoever is doing this!


NameFortunatus
Date2007-03-16
Locationclick picture for more information
MessageSema mzee,

Kazi uliyofanya inastahili pongezi kubwa.

Website inapendeza sana sababu inatoa information nyingi sana ambazo ni very useful.

Keep it up and going smilie


Nameyeboyebo
Date2007-03-16
Locationclick picture for more information
Messagemwanzo mzuli ..keep it up"


NameTEST
Date2007-03-15
MessageThis is a test message


Page 4 of 4 < 1 2 3 4