| Message | habari zenu ndugu watanzania mnaoishi danmark?mimi naitwa mark.mushi ni msanii wa mziki wa bongo flava naishi italy,niko mbioni kutoa single yangu hivi karibuni nitalayoirecord roma,napenda kuwataharifu watanzania waishio danmark kuwa single yangu itakapokuwa tayari nitapenda niwatumie watanzania mliopo uko ili muweze kusikiliza ladha mbalimbali za music hasa za mtanzania mwenzenu aliyepo italy,kwa yeyote apendae kuwasiliana nami anaweza kuwasiliana na mimi kupitia,chelseaforte1@yahoo.it,au akanipigia simu yangu ya mkononi ni,+393336989592,tuko pamoja katika kuwakilisha tanzania katika nchi za wenzetu mziki ni kipaji na kama una kipaji shika mic fanya kweli kama mark,nategemea kuwatumia single hii yangu ya kwanza kisha nyingine zitafatia hapo baadae pamoja na video zake,naomba muzisambaze ili watanzania nao waweze kuona vitu vikali vya mtanzania mwenzao aliyepo italy,asanteni sana, |